Skip to content Skip to main navigation Skip to footer

𝐀𝐅𝐔𝐄𝐍𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈; 𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 𝐋𝐀 𝐊𝐀𝐔𝐍𝐓𝐈 𝐋𝐀𝐙𝐈𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐔𝐍𝐈 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐃𝐔𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐋𝐔𝐆𝐇𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈

Bunge la Kaunti ya Taita Taveta limezindua Kanuni zake za Kudumu (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili, hatua ambayo inatarajiwa kuboresha mahusiano na mawasiliano kati ya Bunge la Kaunti na Wananchi.

Back to top